Lilian Migwi, mwanamke wa miaka 30, hakuwahi kamwe kufikiria kwamba siku moja mmoja wa dada yake wa damu, aliyelelewa naye pamoja toka utotoni angemsaliti. Hata hivyo, kama waswahili wasemavyo, ...
Narumbe Ekiru hupenda kutabasamu sana. Ukikutana naye utadhani ni mtu mwenye furaha tele maishani. lakini hali ni tofauti. Kutabasamu kwake huficha ukweli wa mambo yaliyomo ndani ya moyo wake. Chanzo ...
Kansela Angela Merkel katika hotuba yake mwaka mpya kwa Ujerumani, amewashambulia wale wanaopinga uwepo wa virusi vya corona, amesisitiza umuhimu wa umoja miongoni mwa jamii tofauti na pia ametoa ...